Breaking: Sport Pesa kuidhamini Simba SC kwa Tsh 4bn

Kampuni ya Michezo ya kubashiri ya SportPesa imeingia makubaliano rasmi ya udhamini na klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam kwa kipindi cha miaka mitano, ukiwa ni mkataba wenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Bilioni 4 za Kitanzania

Related Articles

Back to top button