Burudani

BSS yatangaza dau la zaidi ya Tsh Milioni 50 kwa mshindi wa BSS mwaka 2018 (Video)

Mkurugenzi wa BSS, Madam Rita ametangaza zawadi ya zaidi ya tsh milioni 50 kwa mshindi wa BSS 2018. Alisema zawadi hiyo haitatolewa yote kwa mshindi kama zamani illi kuhakikisha pesa hiyo inakwenda kumsaidia katika kipaji chache cha muziki.

Kati ya pesa hiyo tsh milioni 20 itatolewa na BOOM Player kwa mshindi wa kwanza ambapo siku anatangazwa atapewa tsh milioni 5 na nyingine inayobaki atapewa kila mwezi tsh 1.2 kwa kipindi cha mwaka mzima.

Madam Rita amesema label ya Quick Rocka, Switch Music Group imekubali kumsaini mkataba wa tsh milioni 30 kwaajili ya kumsimamia mshindi huyo ili kuhakikisha msanii huyo anafanya vizuri kwenye muziki tofauti na waliopita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents