Burudani

Calisah aeleza kwanini alishindwa kumpachika mimba Wema (Video)

Mwanamitindo wa kiume ambaye kwa sasa anatikisa katika mitandao ya kijamii, Calisah amefunguka mapya baaada ya kudai kuwa anafanya biashara ya kuwapachika mimba wanawake ambao wanatafuta watoto kwa gharama nafuu.  Model huyo ameiambia Bongo5 kwanini alishindwa kumpachima mimba mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu ambaye amekuwa akitamka hadharani kwamba anataka mtoto na amekuwa akitafuta kwa muda mrefu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents