Habari

Chama cha ANC kimeshinda uchaguzi mkuu Afrika Kusini, Wasimamizi wasema uchaguzi haukuwa na ‘bao la mkono’

Chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC kimeibuka kidedea kwenye uchaguzi mkuu nchini humo na kufanikiwa kuongoza tena taifa hilo kwa awamu ya sita mfululizo.


Kwenye uchaguzi ANC kimepata 57.51% ya kura zote na kumfanya Rais Cyrill Ramaphosa kushinda urais huku chama kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance kikipata 20.76% .

Ushindi wa ANC unatajwa kuwa umekuwa mdogo ukilinganisha na matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2014 ambapo chama hicho kilishinda kwa asilimia 62.13% .

Kwa matokeo hayo Chama cha ANC kimepoteza nafasi 19 bungeni.

Kwa upande mwingine wasimamizi wa kimataifa wa uchaguzi huo, wamesema ulikuwa wa haki na huru.

Tazama Matokeo kamili ya uchaguzi huo uliofanyika Jumatano hapa chini.

In 2019 with 99.87% counting done ANC=57.49% (230 seats) DA=20.79% (83 seats) EFF=10.77% (43 seats)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents