Burudani

Chris Brown: Sitochukia kama Rihanna akinicheat na mwanamke

CHRIS Brown anakubali kuwa hatojali kama Rihanna asipokuwa mwaminifu kwake lakini ni kama tu akifanya yake na mwanamke mwenzie.

RRI KIS 3

RRI KIS 4

Rihanna kwa sasa yupo kwenye ziara yake ya dunia Diamonds ambayo itamalizika October. Na Chris anakubali kuwa Rihanna anaweza akapitiwa akamsaliti japo hatoumia kama akimcheat na mwanamke.

RRI KIS 2

“If it was a girl it would be cool. I ain’t with that if it was another guy,” alisema Chris baada ya kuulizwa atajiskiaje akisalitiwa na Rihanna.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents