Habari

CLUB E Presents ‘LICENCE TO PARTY’, ni Ijumaa hii Mlimani City

CLUB E imekuandalia ‘LICENCE TO PARTY’, itakayofanyika Ijumaa hii (December 6) katika ukumbi wa Mlimani City. Wasanii watakaokuwepo kutoa burudani ni pamoja na Vanessa Mdee, Banana Zorro, Ommy Dimpoz na Kidumu.

club e-2

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents