Country boy aondoka Konde Gang

upitia akaunti ya Konde Gang wameandima ujumbe huu:- TAARIFA: Mkataba Kati Ya Konde Music Worldwide Na @countrywizzy_tz Umemalizika Hii Leo Tar 8 January 2022.
Kuanzia Leo Country Wizzy Atakuwa Msanii Anaejitegemea Baada Ya Kufikia Makubaliano Ya Pande Zote Mbili.
Konde Music Worldwide Inamtakia Kila Lenye Kheri Country Wizzy Kwenye Career Yake Ya Music Pamoja Na Maisha Kwa Ujumla šŸ™
All the Best Wizzy!!

Related Articles

Back to top button