Orodha ya Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia
Rais Samia afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri na kubuni wizara mpya
Akitangaza mabadiliko hayo, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais amefanya mabadiliko ya muundo katika wizara tatu.
Rais Samia ”ameunganisha wizara tatu, iliyokuwa wizara ya uwekezaji iliyokuwa chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na pia ameunganisha wizara ya biashara moja ambayo itaitwa uwekezaji , viwanda na biashara”, amesema Balozi Hussein Kattanga.
Aidha kama alivyoahidi Rais Samia ameunda Wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia ,wanawake na Makundi maalum.
Orodha ya Mawaziri na Manaibu… (Swipe left picha)
Ofisi ya Rais Ikulu
Waziri wa Nchi Kazi Maalum – Kapeni Geroge Mkuchika
Waziri wa Utumishi – Jenista Mhagama
Naibu Waziri Utumishi – Deogratius John Ndejembi
TAMISEMI
Waziri – Innocent Bashungwa
Naibu Waziri – David Silinde
Naibu Waziri – Festo Dugange
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Waziri – Suleimani Jafo
Naibu Waziri – Hamis Hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Wizara ya Kazi Ajira
Waziri – Ndalichako waziri
Wizara ya Ulinzi –
Wizara ya Sheria na Katiba
Waziri – George Simbachawene
Naibu Waziri – Godfrey Mizengo Mizengo Pinda
Wizara ya Kilimo
Waziri – Hussein Bashe
Naibu Waziri – Anthony Mavunde
Wizara ya Uvuvi
Waziri – Mashimba Ndaki
Naibu Waziri – Abdallah Hamisi Ulega
Wizara ya Ardhi
Waziri – Angelina Mabula
Naibu Waziri – Ridhiwani Kikwete
Waziri – Innocent Bashungwa
Naibu Waziri – David Silinde
Naibu Waziri – Dugange
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Waziri – Suleimani Jafo
Naibu Waziri – Hamis Hamis
Wizara ya Kazi Ajira
Waziri – Ndalichako
Naibu Waziri – Patrobas Katambi
Wizara ya Fedha
Waziri – Mwigulu Mwigulu
Naibu Waziri – Chande
Wizara ya Ulinzi
Waziri – Stergomena Tax
Wizara ya Sheria na Katiba
Waziri – George Simbachawene
Naibu Waziri – Godfrey Mizengo Mizengo Pinda
Wizara ya Kilimo
Waziri – Hussein Bashe
Naibu Waziri – Anthony Mavunde
Wizara ya Uvuvi
Waziri – Mashimba Ndaki
Naibu Waziri – Abdallah Hamisi Ulega
Wizara ya Ardhi
Waziri – Angelina Mabula
Naibu Waziri – Ridhiwani Kikwete.