Habari

Dhamana ya Mhe. Mbowe na Esther Matiko yampeleka Zitto Kabwe mahakamani

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa leo Novemba 28, 2018 atafika katika Mahakama Kuu kuonesha mshikamano, kufuatia kunyimwa dhamana kwa Kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge Esther Matiko.

Image result for zitto kabwe na Mbowe
Mhe. Zitto Kabwe

Zitto amesema anaenda kuungana na viongozi  kuonyesha mshikamano dhidi ya vitendo vya kibabe, kikatili na ukandamizaji wa haki.

Wiki iliyopita, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilimfutia dhamana mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema, Freeman Mbowe na Ester Matiko kwa kukiuka masharti ya dhamana yao.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents