Burudani

Dj Khaled kuja na ngoma na Drake kuitoa ‘Major Key’

Dj Khaled amepanga kuachia nyimbo mpya ‘For Free’ aliyomshirikisha Drake hivi karibuni kabla ya kuachia albamu yake mpya, ‘Major Key’.

Dj

Khaled ambaye bado yupo kwenye ziara ya Queen Bey ‘Formation’ amepanga kuachia wimbo huo ambao utakaribisha ujio wa albamu yake hiyo mpya ambayo amepanga kuiachia mwaka huu.

Kwenye albamu hiyo amewashirikisha mastaa kibao kama Lil Wayne, Drake, Rick Ross, Big Sean, Chris Brown, August Alsina na Travis Scott na itakuwa ni albamu ya kwanza kwa Dj Khaled akiwa chini ya menejimenti yake mpya ya Roc Nation inayomilikiwa na Jay Z.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents