Mahojiano

DJ Seven; Harmonize msanii namba moja Tanzania kwa sasa, amefanya mambo mengi, album bora ameanzisha lebo na kusaini wasanii (+ Video)

DJ wa Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @harmonize_tz ambaye ni DJ @djsevenworldwide ametoa sababu kubwa zinazomfanya @harmonize_tz kuwa msanii namba moja. @djsevenworldwide ameongeza kuwa @harmonize_tz amefanya vitu vikubwa sana ambavyo vinambeba na kumfanya awe namba moja kwa sasa Tanzania

@djsevenworldwide amesema kuwa @harmonize_tz amekuja kuuvunja ufalme wa @officialalikiba na @diamondplatnumz ambayo umedumu kwa muda mrefu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents