HabariVideos

Dk Julius Nguhulla azindua kitabu kiitwacho ‘Enhancing your knowledge in shipping’ (+Video) 

DK Julius Nguhulla amezindua kitabu kiitwacho ENHANCING YOUR KNOWLEDGE IN SHIPPING tukio lililofanyika Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam leo Novemba 25, 2021

Akizungumza na waandishi wa Habari DK Nguhulla amesema kuwa ”Watu wanatakiwa wafundishwe kuhusu maarifa ya bandari na meli ”

Wageni mbalimbali wamehudhuria tukuo hilo la uzinduzi wa kitabu huku mgeni rasmi akiwa Dkt Charles Kimei.

Related Articles

Back to top button