HabariMichezo

Dkt. Samia anunua magoli ya Simba, Yanga

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza atatoa shilingi milioni tano kwa kila goli litakalofungwa na timu za Simba na Yanga kwenye michuano ya klabu barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa mkoani Dar es Salaam na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari.

Simba inacheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Jumamosi wiki hii kwa Mkapa dhidi ya Raja Casablanca.

Young Africans wata wakaribisha TP Mazembe kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho na Jumapili hapo hapo Benjamin Mkapa.

Credit by @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents