Burudani

Dogo Janja afunguka kutokuwa na sauti kwa mke wake Irene Uwoya (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amefunguka kuzungumzia baadhi ya kauli zinazotolewa mitandaoni kwamba hana sauti kwa mke wake Irene Uwoya. Kauli hizo zilizuka mitandaoni hivi karibuni baada ya muigizaji huyo wa filamu kuachia picha ambazo ninaonyesha sehemu ya mwili wake hali ambayo iliwaduaza Watanzania wengi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents