Michezo

Done Deal: Dani Alves asaini miaka miwili na Juventus

Hatimaye aliyekuwa mchezaji wa Barcelona, Dani Alves amesaini mkataba wa miaka miwili na Juventus ya Italia huku mkataba wake ukiwa na makubaliano ya uwezekano wa kumuongezea mwaka mmoja mwingine.

3549C67E00000578-3642164-image-m-42_1465959567184

Baada ya kusaini mkataba huo, Dani Alves alisema, “I am a privileged, honoured footballer, for whom life has allowed him to wear the shirt of the best club in the world in an incredible decade for the quality of its players and coaches.”

Nao uongozi wa Juventus baada ya kumsaini mchezaji huyo, kupitia akaunti yao ya Twitter waliandika, “OFFICIAL: @DaniAlvesD2 signs for Juventus!”

Alves alisajiliwa na Barcelona mwaka 2008 akitokea Sevilla na kufanikiwa kuichezea timu ya Barca jumla misimu nane na kufanikiwa kuchukua jumla ya vikombe 23 ndani ya ligi ya Hispania pamoja na vikombe vyote vya ngazi ya klabu kwenye bara la Ulaya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents