Burudani

VIDEO; Ebitoke amlilia Ben Pol “Huu ndio wimbo nilioutunga kwa ajili yake”

VIDEO; Ebitoke amlilia Ben Pol "Huu ndio wimbo nilioutunga kwa ajili yake"

Msanii na mchekeshaji kutoka kundi la Timamu Ebitoke amefunguka mengi sana kuhusiana na kazi ya sanaa kwa ujumla lakini pia kuhusiana na maisha yake ya kimahusiano.
Ebitoke ameongea hayo wakati anapiga stori na Bongo Five na kusema kuwa kwa “sasa niko kwenye mahusiano mengine kabisa nimeshaachana na Ben Pol ingawa bado nampenda na nilishamuimbiaga mpaka nyimbo”
Tazama video hii:-

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents