Burudani

Eddy Kenzo ala shavu la ubalozi wa Airtel Uganda

Wiki chache baada ya kuibuka na tuzo ya BET Viewer’s Choice Best New International Artist, kampuni ya Airtel Uganda imemteua Eddy Kenzo kuwa balozi wa kampeni yake mpya, It’s Now.

11705374_832582940166749_5543861317591351786_n
Eddy Kenzo akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Uganda, Tom Gutjahr

Kampeni hiyo ilizinduliwa na Airtel Africa wiki kadhaa zilizopita ikiwa na lengo na kuibua na kukuza vipaji mbalimbali vikiwemo michezo, muziki na vingine huku ikiwapata watumiaji wake nafasi ya kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu kubaini fursa zinazowazunguka.

10984454_832582463500130_9043442030513044653_n

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Uganda, Tom Gutjahr, Eddy Kenzo ni mfano mzuri wa mtu aliyejikwamua kutoka mtaani na kuwa staa wa muziki si tu nchini mwake bali dunia nzima.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents