Eddy Kenzo awagaragaza Diamond, Alikiba na Harmonize tuzo za AFRIMA, Msanii bora Afrika Mashariki

Katika tuzo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo katika jiji la Lagos nchini Nigeria, wasanii wengi walibahatika kupata tuzo lakini katika tuzo iliyozua gumzo ni ya msanii bora Afrika Mashariki ambapo ilikuwa inashindaniwa na Alikiba kutoka Tanzania, Diamond Platnumz Tanzania, Harmonize, Tanzania, Darassa Tanzania, Rayvanny Tanzania na Eddy Kenzo Uganda.

Tuzo hiyo imeenda kwa msanii kutoka Uganda Eddy Kenzo, ikumbukwe kuwa Eddy Kenzo ametamba na ngoma yake ya Weekend na nyinginze nyingi.

Nini maoni yako baada ya tuzo hii kutolewa usiku wa jana ?

Best Male Artist in East Africa –Β @eddykenzo πŸ‡ΊπŸ‡¬ AFRIMA AWARDS 2021 – LAGOS NIGERIA πŸ‡³πŸ‡¬

Related Articles

Back to top button