Habari

Ethiopia yapata Rais wa kwanza mwanamke kufuatia kujiuzulu kwa Rais Mulatu Tushome

Ethiopia yapata Rais wa kwanza mwanamke kufuatia kujiuzulu kwa Rais Mulatu Tushome

Wabunge wa nchi hiyo wamemchagua Mwanadiplomasia mahiri Sahle-Work Zewde kuwa Rais, Anakuwa Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika Taifa la Ethiopia. Anachaguliwa ikiwa ni siku kadhaa tangu Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Abiy Ahmed ateuwe Baraza la Mawaziri lenye nusu ya Wanawake. Wakati akihutubia Sahle Work amesisitiza kutunza amani ya nchi hiyo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents