Habari

Exclusive Video: January Makamba, aelezea alivyoathiriwa na uvamizi wa Idd Amini akiwa na miaka 5

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amekumbushia jinsi ambavyo uvamizi wa Idd Amini nchini mwaka 1978 ulivyomwathiri kwa muda na kumfanya yeye na bibi yake kizaa mama yake na mdogo wake, kuwa wakimbizi kwa muda.

Katika sehemu ya kwanza ya mahojiano haya maalum na Bongo5TV, Makamba amesimulia jinsi ambavyo uvamizi huo ulikuwa, maisha yake ya shuleni kijijini huko, jinsi alivyokuwa mchungaji mzuri wa mbuzi, alivyomsaidia bibi yake kuuza pombe aina ya Lubisi na namna maisha ya kijijini yalivyomfundisha ukakamavu na uvumilivu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents