HabariMichezo

Feisal afunguka kuhusu Yanga vs Madeama (+Video)

Kiungo Mshambuliaji wa Azam FC Feisal Salum ‘Feitoto’ mwenye mabao 7 mpaka Sasa katika ligi kuu soka Tanzania bara amefunguka baada ya mechi ya KMC ambayo wameshinda mabao 5 -0.

Feitoto ametoa tasmini yake kuhusu na Simba na Yanga kwenye mechi zao za kimataifa za ligi ya Mabingwa barani Afrika akisema Yanga wapo na kiwango Bora timu Yao nzuri inaweza kushinda maana wana kikosi Bora.

Pia Simba wanaweza kushinda maana pia wana timu nzuri lakini akigoma kutoa sababu kwanini anafikiri Simba imeshuka kiwango tofauti na Misimu ya Nyuma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents