Burudani
Fid Q kuachia ngoma wiki, awapa uhuru mashabiki kumchagulia siku ya kuutoa
Wewe ni miongoni mwa mashabiki wa Fareed Kubanda aka Fid Q na umesubiri sana kusikia wimbo wake mpya hadi umekata tamaa? Fid ana habari njema.
The wait is over.. Nipo tayari kuachia NGOMA mpya wiki hii!! naomba mnichagulie siku.. Thanks in advance
— KitaaOLOJIA (@FidQ) October 14, 2013
Unahisi ni siku gani ngoma ya Fid inatakiwa itoke? Unaweza kumsaidia kuchagua siku.