Habari

Filamu za Tanzania zitakazooneshwa kwenye tamasha la ZIFF zatajwa

Filamu za Tanzania zitakazooneshwa kwenye tamasha la kimataifa la filamu Zanzibar mwaka huu zimetajwa. Filamu hizo ni pamoja na:

page

Mimi na Mungu wangu
Dir. Iddy Bigilwa
Fan’s Death:
Dir.Vincent Kigosi
Hard Price:
Dir.Vincent Kigosi
Twisted:
Dir.Vincent Kigosi
Foolish Age:
Dir. Chiddy Classic
Dala dala:
Dir.Suleiman Barafu
Money Talk:
Dir. Haji Adam
Witch Doctor:
Dir. Leah R. Mwendamseke
Bad Luck:
Dir.Adam Kuambiana
Vanessa in Dilemma:
Dir.Saguda George
Kitendawili:
Dir. Single Mtambalike
Zero (Short Film)
Dir. Adam Juma
Lost Souls:
Dir.Bond Bin Suleiman
Kauva:
Dir. Yusuph Kissoki
Safari:
Dir. Single Mtambalike
Shikamoo Mzee:
Dir.Jacob Stephen
Bado Natafuta:
Dir.Jacob Stephen
Gawa:
Dir. Mussa Banzi
Kisate:
Dir. Jackson Kabirigi
Shahada:
Dir.Issa Mussa
Nguvu ya Imani:
Dir.Jackson Kabirigi
Nyerere:
Dir.Steve Mengele
Wakati huo huo msanii wa nchini Mali, Habib Koite, Didier Award wa Senegal, kundi la Kenya la Sauti Sol, AY, Mzungu Kichaa na Grace Matata watatumbuiza kwenye tamasha hilo la 17.

page

Tamasha hilo litafanyika kuanzia June 14 visiwani humo. Tamasha hilo litafunguliwa na filamu ya Mandela: A Long Walk to Freedom na mastaa wa filamu kutoka Afrika Kusini nao watahudhuria. Mkurugenzi wa tamasha hilo, Professor Martin Mhando alidai kuwa filamu 79 zitaoneshwa kwenye tamasha hilo la siku 10 kutoka 35. Filamu fupi ni 38, makala ndefu 23 na zingine 18.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents