Burudani

Flani arudi kivingine baada ya kufanya kazi na producer Deey Classic

Msanii Wa Muziki Mwenye Asili Ya Nchini Kenya Ambaye Amekuwa Akifanya Mziki Kwa Miaka Kadhaa Na Kuelekeza Talanta Yake Nchini Tanzania Kwa Kufanya Kazi Na Watayarishaji Wa Muziki Mahiri Hapa Nchini Tanzania Hasa Katika Tasnia Ya Muziki Wa Hiphop Kama Vile Deey Classic Pamoja N Q The Don.

Jamaa Flani A.K.A Jflani Ni Moja Ya Msanii Mwenye Mtazamo Chanya Sana Katika Muziki Wake Jambo Ambalo Linamfanya Kuwa Moja Kati Ya Watu Wanaopenda Ubora Zaidi Katika Kazi Zake Na Kwa Mara Ya Kwanza Jflani Anakuletea Kazi Yake Mpya Ambayo Anakiri Kuifanya Katika Kiwango Cha Juu Zaidi Kuwahi Kufanya Wimbo Unaitwa NITAKUWEZAJE Akiwa Amemshirikisha Mrembo Icome Na Video Kutayarishwa Na Kuongozwa Na Dir Simon Spk Chini Ya Nyasha Music.

Karibu Kutazama Wimbo Huu Mpya Na Kushare Pamoja Na Marafiki Na Unaweza Kuwa Karibu Zaidi Na Instagram Ya @Jflani Ili Kufahamu Zaidi Na Zawadi Zitatolewa Kwa Atakayekuwa Makini Zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents