MichezoVideos

Florian Valerian Massawe ashinda Bil 1.2 SportPesa, atoa mbinu, serikali yapata kodi mil 188 (+Video)

Mshindi wa Bilioni 1.2, Florian Valerian Massawe amesema kabla hata ya kutangazwa na SportPesa kuwa mshindi alijaribu kuficha ukweli wa ushindi wake mpaka atakapothibitishwa lakini alishangaa kuona simu zaidi ya 300 akipigiwa kutoka kwa marafiki.

Serikali imepata kodi ya Shilingi Milioni 188 kutoka Fabian Massawe baada ya kushinda Jackpot hiyo iliyotokana na kubashiri michezo 13 za ligi mbalimbali duniani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents