Burudani
Mwijaku azawadiwa gari na mke wake
Mke wa @mwijaku @aliciousm amepost kwenye mtandao wake wa instagram gari aina ya Toyota Alphard na kusema ni zawadi ambayo amemnunulia mumewe.
“Thats for you my husband , Pokea kidogo nilicho jaaliwa na hongera kwa kujituma na uzalendo kwa nchi yako . I love you @mwijaku” Mwisho wa kunukuu.