Burudani

Future akanusha tetesi za kuwa na uhusiano na Blac Chyna!

Rapper wa Marekani, Future amevunja ukimya na kukanusha uvumi ulioenea kuwa ana uhusiano na ex na baby mama wa Tyga, Black Chyna.

Future_BlacChyna

Siku chache zilizopita Chyna alichora tattoo ya jina la Future mkononi ambayo iliongeza uthibitisho wa tetesi za wawili hao kuwa kwenye uhusiano.

chyna

Future ambaye ni ex na baba wa mtoto wa mwimbaji Ciara amesema kuwa yuko single, “Single & focusing on what makes me happy,” alitweet na kisha kutumia mstari wa wimbo wake “Though It Was A Drought” ambayo pia Chyna aliutumia kama caption kwenye picha ya tattoo, (“U kno I dnt fuck wit no rumors…”).

future

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents