Habari

Gari jipya la Miley Cyrus lenye thamani ya M 218 lililoibiwa na majambazi lapatikana

Gari la muimbaji Miley Cyrus lililoibiwa baada ya majambazi kuvamia nyumba yake ya Los Angeles limepatikana.

miley-cyrus-wallpapers_095550

Kwa mujibu wa TMZ kuna mtu aliliona gari hilo lenye thamani ya milioni 218 likiwa limeegeshwa mtaani na kuwapigia simu maaskari. Inasemekana gari hilo halijaharibika na inahisiwa huenda majambazi waliogopa na kuamua kulitelekezwa baada ya kuona habari zimesambaa za kuibiwa kwake.

Miley Cyrus alikuwa nchini Sweden kwenye ziara ya Bangerz wakati majambazi wanavamia nyumba yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents