Habari

Gari lingine la Ginimbi la kifahari lawaka moto katikati msafara ukielekea makaburini (+Video)

Kifo cha mzimbabwe aliyekuwa maarufu sana katika mitandao ya kijamii wa Zimbabwe aliyekuwa na umri wa miaka 36 na mfanyabiashara , Genius Kadungure alimaarufu Ginimbi kilichotokea tarehe 8 November mwaka huu, leo ndio mazishi yake na wakati wanaelekea makaburini moja ya gari lake aina ya Lamborghini Aventador.

Shuhudia tukio hilo:-

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents