Michezo
H-Baba anaomba kura za mashabiki katika Kili Music Awards [Video]
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=3J6T2wHRnw0[/youtube]
Kwa kuwa ni mara ya kwanza kwa H-Baba kuingia katika Kili Music Awards hakuwa na maoni mengi bali a Mtoto wa Mwanza anawaomba mashabiki wake wampigie kura kwa wingi.