Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Harmonize alivyowagaragaza Burna Boy, Asake na Davido kwenye tuzo Marekani
Kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tuzo za AEAUSA zilizofanyika Marekani.
@el_mando_tz amezungumzia kuhusu @harmonize_tz kushinda tuzo tatu kwa pamoja kwenye usiku mmoja.
@harmonize_tz ameshinda tuzo hizo mbele ya mastaa mbalimbali wakiwemo mastaa kutoka Nigeria.
Miongoni mwa wasanii waliokuwa kwenye kipengele kimoja na @harmonize_tz ni pamoja na Burna Boy, Davido, Asake na wengine
@el_mando_tz amezungumzia kuhusu kauli za baadhi ya mashabiki wakiweka ulakini kuhusu ushindi huo huku wengine wakidai amehonga na wengine kusema hakustahili.
Kwa maoni yako unahisi @harmonize_tz alistahili au hakustahili??