Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Harmonize amenunua tuzo zake?? fahamu ukweli

Kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tuzo za AEAUSA zilizofanyika Marekani.

@el_mando_tz amezungumzia kuhusu @harmonize_tz kushinda tuzo tatu kwa pamoja kwenye usiku mmoja.

@harmonize_tz ameshinda tuzo hizo mbele ya mastaa mbalimbali wakiwemo mastaa kutoka Nigeria.

Miongoni mwa wasanii waliokuwa kwenye kipengele kimoja na @harmonize_tz ni pamoja na Burna Boy, Davido, Asake na wengine

@el_mando_tz amezungumzia kuhusu kauli za baadhi ya mashabiki wakiweka ulakini kuhusu ushindi huo huku wengine wakidai amehonga na wengine kusema hakustahili.

Kwa maoni yako unahisi @harmonize_tz alistahili au hakustahili??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents