Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Rayvanny na S2kizzy kuileta tuzo ya Grammy kwa mara ya kwanza Tanzania??

Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia kuhusu @rayvanny na @s2kizzy kuingia kwenye tuzo za GRAMMY. @el_mando_tz anasema kuwa huenda @rayvanny na @s2kizzy wakawa wasanii wa kwanza Tanzania kuileta Tuzo kubwa kabisa duniani ya GRMMY.