Harmonize atoa machozi akiimba kwenye mazishi ya Hayati Mkapa Lupaso (Video)

Msanii wa muziki @harmonize_tz ni mmoja kati ya wasanii ambao wamepata fursa ya kuimba wimbo wa maombolezo kwenye mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, hayati Benjamin Mkapa. Shughuli hiyo ya mazishi inafanyikia nyumbani kwa marehemu kijiji Cha Lupaso Wilaya ya Masasi Mkoni Lindi.

Related Articles

Back to top button