Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Harmonize atua Golden Tulip muda mfupi baada ya Diamond kuondoka

Muda mfupi baada ya @diamondplatnumz kuondoka hapa Golden Tulip alitua Jeshi Konde Boy @harmonize_tz kwa ajili ya semina.

Baada ya kufika @harmonize_tz hakuchukua muda mrefu kwani alichukua takribani dakika 15 na kuondoka hapa Golden Tulip.

Bado wasanii wanaendelea na mjadala wa kutafuta ni kwa namna gani wasanii wataweza kunufaika na kazi zao na kisanii.

Tukio hili limeandaliwa na @mziiki

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents