Burudani
Hatimaye Pancho Latino azikwa kijijini Msingisi Gairo (Video)
Hatimaye producer kutoka B Hits, Pancho Latino aliyefariki Jumanne hii kwa ajali ya maji Mbudya amezikwa Jumamosi hii na umati mkubwa wa watu kijijini kwao Msingisi Gairo. Wasanii, wadau wa sanaa pamoja na wananchi wa walijumuhika kwenye mazisho hayo.