Lady Jay Dee

Hili dongo la Lady Jaydee linamwendea nani?

Lady Jaydee

Wanasema ‘No Research No Right to Speak’ hivyo ingawa tunaweza kuwa tunahisi dongo hili linawaendea akina nani, hatuwezi kutaja jina ambalo Lady Jaydee ameamua kuliweka kapuni.

Leo kupitia Twitter, Lady Jaydee ambaye jina lake halisi ni Judith Mbibo ameandika kitu ambacho kimezua maswali mengi ya wapi ujumbe huu ameuelekeza.

Jaydee ametweet:

Swali kubwa ni Je! Nani hawa wadau wa muziki wenye kauli ya kibabe kama hii? Jibu lako ni sawa na letu!!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents