Burudani

Host wa XXL, Kenedy The Remedy afunga ndoa

Baada ya Mtangazaji wa Clouds Media Group, Babuu wa kitaa kuaga ukapela wiki iliyopita, hatimaye mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds Fm, Kenedy The Remedy amefunga ndoa.

Kenedy amefunga ndoa leo jijini Dar es salaam na kuudhuriwa na watu wake wa karibu wa familia yake na familia ya bibi Harusi

Kenny anaingia katika orodha ya watu maarufu waliofunga ndoa mwaka huu ikiongozwa na Madam Flora, Mx Carter, Producer Dx, Professor Jay na Babuu wa kitaa.

Kwa niaba ya Team nzima ya Bongo5 tunakupongeza kwa hatua hii muhimu katika maisha yako.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents