Siasa

Hukumu kesi ya Sabaya yaahirishwa (+ Video)

Hukumu ya Kesi ya Jinai namba 105 ya Mwaka 2021 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili Sylvester Nyegu na Daniel Mbura imeahirishwa hadi October 15 kwa kuwa haijakamilika.

Ikumbukwe kwamba,Kwa mara ya kwanza alifikishwa mahakaman Juni nne baada ya kukamatwa Jijini Dar es-salam Mei 7.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents