Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojianoUmbea

Irene Uwoya: Ndoa ya Kajala na Harmonize ntaisimamia mwanzo mwisho

Staa wa Bongo Movie @ireneuwoya8 ameeleza kuwa ndoa ya msanii mwenzake @kajalafrida na @harmonize_tz ataisimamia mwanzo mwisho.

 

@ireneuwoya8 ameyaongea hayo wakati akipata ubalozi kutoka duka la nguo za harusi @lizpayless ambapo ameongeza kuwa yeye huwa haingilii mahusiano ya watu ila anapenda kumuona rafiki yake Kajala yupo n afuraha na amani.

Irene kuhusu BIG 6 mastaa sita wa kike wa Bongo movie ambalo linaundwa na yeye Irene Uwoya, Wema Sepetu,  Kajala, Jacline Wolper, Elizabeth Michael Lulu na Aunt Ezekiel amesema kuna jambo wanaliandaa linakuja na kila mmoja ataliona muda sio mrefu.

Kuhusu biashara zake amesema kuwa yupo njiani kuitambulisha biasha yako ya kope lakini pia mafuta yake yapo sokoni.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents