Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Tronic Ice anakukaribisha mdau wa muziki utazame video ya wimbo wake mpya wa ‘A GIRL FROM PAKISTAN “.
Wimbo huu umetengenezwa na Producer ‘Wanted Boy Beats’, Huku video ikiongozwa na Waongozaji wawili Chusse na Chinno, Bofya link hapa chini kutazama ngoma hiyo;