Burudani

It’s All Love: Ivan ahudhuria White Party ya ex wake Zari, Diamond aikacha (Picha)

Wana watoto watatu pamoja na wana biashara kibao za pamoja, hivyo ni ngumu kwa Zari na mume wake wake wa zamani, Ivan kupotezeana licha ya kila mmoja kuchukua njia yake kimahusiano.

12353812_1151509724878786_161931566_n
Ivan na jamaa zake wa Rich Gang wakila bata kwenye Zari All White Party

Ndio maana Ivan na mpambe wake King Lawrenc walisafiri kutoka SA na kwenda kumuunga mkono Zari ambaye Alhamis hii aliandaa party yake ya kila mwaka ya mavazi meupe tu kwenye kiota cha Guvnor kilichopo Kampala Uganda.

12353814_958158024259191_1152221886_n

Ivan alionekana kufurahia party hiyo bila kujali kuwa Zari yupo mikononi mwa Diamond kwa sasa. Hata hivyo Diamond aliyepo jijini humo pia, hakuonekana kwenye party hiyo.

Ina make sense lakini kwanini hakuwepo. Staa huyo Ijumaa hii ana show yake na Patoranking jijini humo. Tazama picha zaidi za party hiyo.

12362319_566764363505996_515598543_n

915490_544394322391880_315014335_n

924368_996580177051603_390103766_n

11261716_678095418994266_629083365_n

12298790_913147808763757_2141814560_n

12298964_784805654979895_1065645617_n

12317704_509538579207617_487745336_n

12317776_748779575256598_1590319529_n

12338936_968479523216596_1594148669_n

12338947_997658793608590_1348018667_n

12353428_1534047623580790_252724626_n

12353814_958158024259191_1152221886_n

12357611_1656127021326487_511368672_n

12362044_1639405299641609_1077253310_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents