Mahojiano

Jasinta Makwabe: Sifanyi video chini ya mil 5, wasanii wa level yangu Tanzania ni Diamond na Alikiba (+ Video)

Mrembo/mwanamitindo na video vixen Jasnta Makwabe ameeleza kuwa ndoto zake kubwa ni kufanya video na Chris Brown na mwaka huu lazima atahakikisha kafanya anye pia lazima ahakikishe anafanya video na Wizkid na Burna boy kwa nje ya Tanzania.

Kwa upande wa Tanzania anatamani sana kufanya kazi na diamond na Alikiba kwani na Harmonize tayari kwani ndio wasanii waliopo kwenye level yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents