BurudaniHabari

Joh Makini aachia Tracklist ya EP yake ya WAVE

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwamba wa Kaskazini @johmakinitz ameachia Tracklist ya ngoma 6 zitakazipatikana kwenye EP hiyo ya WAVE.

Pia @johmakinitz ameandika ujumbe huu “#Repost @johmakinitz with @use.repost
・・・
Finally!! Mwenyezi Mungu ni Muaminifu Wimbi hili zito lenye Mikwaju Sita litatua rasmi duniani kote mnamo hapo Kesho!! #Wave dropping tomorrow Friday 17th #2023flows
Feat.@otuck_william @gnakowarawara & @damiansoulmusic @makini_records_official
Produced by @nahreel @ammy_wave jayraww_ @gachib
Let’s go

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents