Michezo

John Bocco alamba milioni 1/- ya kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara August 2016

 

 

001-mchezaji-bora-wa-mwezi-august
Mshambuliaji wa timu ya Azam FC,John Bocco(kushoto)akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- Kwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Mwezi August,toka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhuasiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(kulia)kabla ya mchezo kuanza wa timu yake na Yanga hapo jana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa bodi ya ligi,Boniface Wambura

002-mchezaji-bora-mwezi-august

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents