Burudani

Joti adai ni ngumu kurudi Original Comedy, afunguka kutajwa tuzo za Zikomo Award Africa (Video)

Mchekeshaji @jotiofficial amedai ni ngumu kwake kwa sasa kurujea kufanya kazi na wasanii wenzake wa Original Comedy kutokana na mikataba aliyokuwa nayo.

Joti ameyasema hayo leo akiwa @tanzania_film_board baada ya kualikwa kupongezwa baada ya kutajwa kwenye tuzo hizo kubwa Afrika pamoja na kuwahamasisha watu kupiga kura.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents