Siasa

JPM: Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nchi hii iwe kama Ulaya ili na sisi tuwe tunatoa misaada kwa sababu uwezo huo tunao (+Video)

Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nchi hii iwe kama Ulaya ili na sisi tuwe tunatoa misaada kwa sababu uwezo huo tunao, Ndiyo maana nikasema lazima niombe kura ili nikamalizie kiporo kikubwa kilichobaki, sababu najua fedha tutapata wapi, tutabana wapi na ni mafisadi gani watazitapika ili ziende kutumika kwa ajili ya wananchi”

https://www.youtube.com/watch?v=MPx4HvX1-y0&t=4s

https://www.youtube.com/watch?v=W78Y075b2zY

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents