Siasa
JPM: Nilipoingia madarakani ni Vijiji 3,000 vilikuwa na umeme, mapaka sasa tumepeleka umeme zaidi ya Vijiji 9,402 vimebaki 3000 (+Video)
“Nilipoingia madarakani ni Vijiji 3,000 tu vilikuwa na umeme, katika kipindi cha miaka mitano tumepeleka umeme zaidi ya Vijiji 9,402, kwahiyo vimebaki Vijiji 3000 nikafikiria nikichukua miaka 5 na CCM yangu vile vijiji vichache vitanishinda?
https://www.youtube.com/watch?v=MPx4HvX1-y0
https://www.youtube.com/watch?v=W78Y075b2zY