HabariMichezo

Juma Abdul Kouassi Yao ni kiungo

wa Yanga Kouassi Attohoula ‘Yao ‘ amesema amemtazama ni beki mzuri ametimia ana Kila kitu Cha full back anachotakiwa kuwa nacho anakasi ana nguvu anaakili anaweza anajua wakati gani wa kupanda kushambulia na wakati gani wa kuzuia kiufupi jamaa ni beki mzuri sana atawasaidia sana Yanga.

Pia ametoa utofauti wa Kibwana Shomary na Kouassi Yao amesema yule anaonekana Zamani alikuwa anachezaga nafasi ya kiungo kwa namna ambavyo anacheza Kuna muda anaweza kuingia ndani Kuna muda anaweza kupiga chenga ivyo wanaweza kucheza mabeki ambao wamezoea kucheza namba tofauti mfano Mimi ,Shomary Kapombe tunaweza kucheza kwa Staili hiyo sababu tulikuwa viungo Zamani ivyo inampa shida mdogo wangu Kibwana maana yeye kazoeza kucheza ubavu Yan kibendera Hadi kibendera.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents