Burudani

Kanye West amvisha pete ya uchumba Kim Kardashian

Kanye West amemchumbia Kim Kardashian kwenye sherehe binafsi iliyofanyika huko San Francisco, California kwenye uwanja wa AT&T Park.

article-2236749-162899BC000005DC-5_634x516

Rapper huyo anadaiwa kumvisha Kim pete ya almasi iliyotengenezwa na Lorraine Schwartz. Aliukodi uwanja huo na kuwaalika marafiki zake, familia na wengine wa karibu kuhudhuria.

West alialika bendi ya watu wa 50 kupiga live nyimbo kama ya Lana Del Rey, “Young & Beautiful” na wa Keri Hilson, ‘Knock You Down’ ambao naye alishikirishwa akiwa na Ne-Yo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents